Barabara kufungwa Mombasa

  • | Citizen TV
    2,768 views

    Barabara ya links eneo la Quickmart inatazamiwa kufungwa kwa muda wa miezi sita kuanzia leo ili kutoa nafasi ya ukaratabati wa mita 230 ya ujenzi wa bomba la maji taka. Mradi Huo unaotekelezwa na Shirika la KURA kwa kima cha shilingi milioni 64 unalenga kukabiliana na mafuriko YA kila mara katika eneo hilo