Barabara mbovu Rongai | Wakazi walamika kuhusu barabara mbaya

  • | KBC Video
    70 views

    Wakazi na wafanyabiashara wa sehemu ya Ole Kasisi eneobunge la Rongai kaunti ya Kajiado wametoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo na ile ya kitaifa kupitia halmashauri ya usimamizi wa barabara za mashinani kuharakisha ujenzi wa barabara katika eneo hilo. Wakazi hao wamelalamika kuhusu matatizo ya afya na hasara kwenye biashara zao kutokana na hali mbovu ya barabara. Na jinsi mwanahabari wetu Yusuf Farah anavyotuarifu, wakazi hao walioghadhabika wanasema watakuwa wakiandamana kila ijumaa hadi tatizo hilo litakaposhughulikiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #barabara #News #rongai