Barabara nyingi hazipitiki katika kaunti ya Nairobi

  • | Citizen TV
    5,491 views

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha imesababisha maafa na uharibifu wa miundomsingi. barabara kadhaa hapa jijini nairobi hazipitiki. miti imeanguka katika barabara ya mpoi katikati ya jiji huku mafuriko yakiathiri sehemu ya barabara kuu ya Thika