Barabara ya kilomita 24 ya Gatuanyaga iliyokwama mwaka wa 2021 yajengwa

  • | Citizen TV
    776 views

    Matumaini ya wakaazi wa Thika yamefufuliwa na kurejelewa kwa ujenzi wa barabara ya kilomita 24 ya Gatuanyaga iliyokwama mwaka wa 2021.