Baraza la GEMA kutoka Trans Nzoia lawataka viongozi wa upinzani kufanya kazi na serikali

  • | Citizen TV
    837 views

    Baraza la wazee wa jamii ya GEMA katika kaunti ya Trans-Nzoia imewataka viongozi kufanya kazi na serikali ili kurahisisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo hasa mashinani.