Baraza la Kitaifa la Watu Wenye Ulemavu yafanya mkutano kutathmini mahitaji ya walemavu

  • | Citizen TV
    69 views

    Baraza la Kitaifa la Watu Wenye Ulemavu (NCPWD), kwa ushirikiano na Ofisi ya Seneta wa Kaunti ya Wajir limeendesha mpango maalum wa kutathmini mahitaji ya watu wenye ulemavu na upimaji wa kiafya katika Kaunti ya Wajir.