6 Aug 2026 10:16 am | Citizen TV 4,053 views Duration: 2:02 Baraza la madhehebu, lijumuishalo waumini wa dini ya Kiislamu na Wakristo jimboni Marsabit, umetia saini mkataba wa maafikiano unaotoa nafasi kwa wanafunzi katika shule za umma kuvaa hijab.