Baraza la magavana laandaa kikao na wanahabari

  • | Citizen TV
    Baraza la Magavana limefanya kikao adhuhuri ya leo kuhusiana na mikakati ya kaunti katika kukabiliana na janga la corona. Kaunti nyingi zimekuwa zikielezea wasiwasi kuhusiana na matayarisho ya kukabiliana na virusi hivyo katika ngazi za kaunti.