Baraza la magavana laelezea hofu kuhusu jinsi magavana wanaandamwa kubanduliwa ofisini

  • | K24 Video
    4 views

    Baraza la magavana nchini limeelezea hofu kuhusu jinsi magavana wanaandamwa kubanduliwa ofisini na sasa linataka mchakato wa kuwabandua uwe mgumu ili kuzuia kuondolewa kiholela mamlakani. Kulingana na mwenyekiti wa baraza hilo Ann Waiguru, wanapania hilo lijumuishwe katika katiba iwapo mabadiliko yatafanyika. Magavana pendekezo hilo mbele ya kamati ya mazungumzo ya Bomas