Baraza la magavana lakosoa mkataba wa CBA wa 2017 wa madaktari

  • | K24 Video
    68 views

    Baraza la magavana limetoa wito kwa muungano wa madaktari KMPDU na serikali kutathmini upya mkataba wa mwaka wa 2017 makubaliano ya pamoja maarufu CBA kwani baadhi ya matakwa ni magumu kutekelezeka, pia wamewarai madaktari walioajiriwa na kaunti kufanya mazungumzo na magavana ili kutatua migogoro yao badala ya kuandamana. Mgomo huo ambao umeingia siku ya 24 sasa umewalazimu baadhi ya wagonjwa kutegemea dawa za madukani bila ya maagizo ya daktari ili kutuliza maumivu.