Baraza la magavana lataka mfumo mpya wa elimu wa vyuo vikuu ubadilishwe

  • | Citizen TV
    204 views

    Baraza la magavana linapanga kuwasilisha hoja ya kubadilisha mfumo mpya wa kufadhili elimu ya vyuo vikuu kwa jopokazi linaloangazia mfumo huo linaloongozwa na Raphael Munavu. Kwa mujibu wa gavana wa Kakamega Fernandes Barasa, mfumo wa sasa umewafungia nje wanafunzi wengi kutoka familia masikini wasipate ufadhili wa elimu ya juu