Baraza la magavana lataka uwakilishi zaidi kwenye bodi ya KEMSA

  • | Citizen TV
    192 views

    Baraza la magavana sasa linataka mamlaka ya kusambaza dawa nchini KEMSA iwe huru na yenye kujitegemea na kuwajibikia wajeta wake. mwenyekiti wa kamati ya afya ya baraza la magavana Muthomi Njuki amesema utendakazi wa KEMSA unaingiliwa mno na kutaka sheria ibadilishwe ili kuwepo wawakilishi wengi wa baraza hilo katika bodi ya KEMSA.