Baraza la magavana latishia kuwachukulia hatua za kinidhamu madaktari wanaogoma

  • | KBC Video
    11 views

    Madaktari waliogoma watachukuliwa hatua za kinidhamu na serikali za kaunti iwapo hawatarejea kazini haraka iwezekanavyo. Huku baraza la magavana likisita kutaja hatua za kinidhamu zitakazochukuliwa, lilisema kwamba mgomo huo ambao umeingia wiki ya pili unatishia kulemaza kabisa huduma za matibabu katika vituo vya afya vya umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive