Baraza la magavana limepinga kupunguzwa kwa bajeti ya serikali za kaunt

  • | K24 Video
    6 views

    Baraza la magavana limepinga kupunguzwa kwa bajeti ya serikali za kaunti hadi shilingi bilioni mia tatu themanini kufuatia kuondolewa kwa mswada wa fedha wa mwaka wa elfu mbili ishirini na nne. Aidha magavana wanalalamika kuwa tangu kuanza kwa mwaka huu wa kifedha hawajapokea angalau shilingi bilioni sitini hali inayowalazimu kukopa kutoka kwa benki ili kulipa mishahara ya wafanyakazi.