Baraza la Magavana wasema serikali kuu inahujumu ugatuzi

  • | Citizen TV
    384 views

    Baraza la Magavana humu nchini, limeisuta serikali ya kitaifa kuwa kizuizi kikubwa katika utekelezaji wa ugatuzi nchini. Haya yanajiri kwenye kongamano la siku 4 la maswala ya kilimo mjini Voi kaunti ya Taita Taveta.