Baraza la Maimamu lahimiza Amani Tana River

  • | Citizen TV
    196 views

    Viongozi wa kidini kutoka kaunti ya Tana River wamewahimiza jamii zinazozana kaunti hiyo kurejea kwenye makazi yao na kuendelea na maisha yao baada ya kuandaa mazungumzo na wazee wa jamii husika.