Baraza la Mawaziri la Israel lakataa kutambua uwepo wa taifa la Palestina

  • | VOA Swahili
    2,425 views
    Baraza la Mawaziri la Israel Jumapili limekataa kutambua uwepo wa taifa la Palestina. Habari hiyo imekuja katikati ya kuongezeka kwa wito wa Marekani na nchi nyingine ambazo zinataka suluhisho la mataifa mawili, wakati mzozo wa Mashariki ya Kati ukizidi kuwa mbaya. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.