Baraza la Mawaziri laafiki kuunda kamati maalum ya kuangazia madeni

  • | Citizen TV
    1,267 views

    Baraza la mawaziri limekubaliana kuunda kamati maalum ya kuangazia madeni ambayo hayajalipwa nchini... Kamati hiyo itapewa majukumu ya kutathmini madeni yanayodaiwa ya kati ya mwaka 2005 na 2022