Baraza la mawaziri limeidhinisha ujenzi wa mabwawa zaidi nchini

  • | KBC Video
    10 views

    Baraza la mawaziri limeidhinisha ujenzi wa mabwawa zaidi humu nchini. Zaidi ya vidimbwi 4,000 vya maji pia vitakarabatiwa katika mpango mpya unaonuiwa kuhakikisha upatikanaji wa maji. Mpango huo ambao utagharimu shilingi bilioni 83 unajumuisha ujenzi wa mabwawa 25 yatakayotumiwa hasa katika maeneo kame.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News