Baraza la wazee la Tharaka Nithi latoa wito wa amani wakati huu wa kampeni

  • | KBC Video
    Baraza la wazee katika kaunti ya Tharaka Nithi limetoa wito wa amani wakati huu wa kipindi cha kampeni za uchaguzi. Wakiongozwana mwenyekiti wa baraza hilo, Mutegi Kiongo, wazee hao wamewataka wanasiasa kuhubiri amani na kukoma kuwagawanya wananchi kwa misingi ya ujamii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News