Baraza la wazee lamtaka rais kuchukua hatua kwa wafisadi

  • | KBC Video
    299 views

    Baraza la kitaifa la wazee nchini limetoa wito kwa rais William Ruto kuwachukulia hatua maafisa wafisadi katika serikali yake ili kuzuia maandamano yanayozidi kushuhudiwa nchini. Wakiongea jijini Nairobi ambapo waliongozwa na mlezi wao mstaafu Kungu Muigai, wazee hao walisikitika kuwa wale waliopewa majukumu ya kusimamia afisi za umma wamesahau majukumu yao na badala yake kuanza kuanika utajiri na maisha yao ya kifahari kwa wakenya ambao wanatatizwa na hali hali ngumu ya maisha. Walitaka viongozi wote kufanyiwa ukaguzi wa kina kuhusiana na mitindo yao ya maisha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive