- 28,955 viewsDuration: 3:26Waombolezaji kutoka jamii mbalimbali walifajiri familia ya hayati Raila Odinga nyumbani kwake katika shamba la Opoda, Bondo, kaunti ya Siaya. Jamii hizo ambazo ziliongozwa na baraza la wazee na viongozi wa kisiasa zilisafirisha fahali na zawadi zingine moja kwa moja kama ishara ya heshima na shukran kwa aliyekuwa Waziri mkuu Raila Odinga.