Baraza la wazee Nyamira lataka viongozi wao kuelewana

  • | Citizen TV
    140 views

    Baraza la wazee wa Nyamira na viongozi wa kidini wameomba mazungumzo ya maridhiano kati ya Gavana Amos Nyaribo na wawakishi wadi wa kaunti hiyo, kufuatia mswada uliowasilishwa katika bunge la kaunti ya Nyamira kumtimua mamlakani Nyaribo.