Skip to main content
Skip to main content

Baraza la wazee wa jamii ya Abaluhya lahubiri amani

  • | Citizen TV
    279 views
    Duration: 1:29
    Baraza la Wazee wa Nyumba 18 ya Jamii ya Abaluhya katika Kaunti ya Trans Nzoia limetoa wito kwa Wakenya kuishi kwa amani na bila hofu yoyote, wakisisitiza umuhimu wa mshikamano wa kitaifa hasa katika kipindi hiki cha changamoto za kisiasa. Viongozi wa baraza hilo wamesema jamii nzima ina jukumu la kudumisha utulivu na mshikamano wa kijamii, wakionya kuwa migogoro ya kisiasa haipaswi kupewa nafasi kwani hukwamisha utekelezaji wa miradi muhimu ya maendeleo