5 Aug 2026 1:50 pm | Citizen TV 684 views Duration: 1:21 Baraza la Wazee wa Jamii ya Kalenjin, limewataka wanasiasa kujiepusha na matamshi ya kugawanya Wakenya kwa misingi ya kisiasa au kikabila, likisema kauli za aina hiyo zinahatarisha amani na mshikamano wa kitaifa.