Baringo: Barabara ya Kabarnet kuelekea Tenges yapasuka ufuatia mvua kubwa

  • | NTV Video
    66 views

    Wakazi kutoka vijiji tofauti kwenye eneo bunge la Baringo ya Kati wametatizika baada ya barabara ya Kabarnet kuelekea Tenges kupasuka katika eneo la Kabasis , kufuatia mvua kubwa iliyonyesha eneo hilo. Wakazi wanaosafiri kuelekea eneo la Tenges sasa watalazimika kusafiri kwa takriban kilomita 150 kupitia njia mbadala.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya