Baringo: Wanawake Wataka Ushirikiano Kukomesha Ujambazi

  • | NTV Video
    63 views

    Si mara ya kwanza kusikia visa vya wizi wa mifugo vikiendelea katika kaunti mbali mbali za wafugaji. Wanawake kutoka Kaunti ya Baringo wamejitokeza hima kupinga ujambazi huu na kutoa wito wa ushirikiano ili kumaliza janga hili.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya