Baringo: Wezi wa mifugo wamevamia eneo la lamaiwe Kaunti ya Baringo na kutoweka na mifugo

  • | NTV Video
    711 views

    Wezi wa mifugo wamevamia eneo la lamaiwe Kaunti ya Baringo na kutoweka na mifugo huku wakikabiliana vikali na maafisa wa akiba. Tukio hili lilitendeka wakati Waziri wa Usalama wa Ndani Profesa Kithure Kindiki alikuwa katika mkutano wa faragha na maafisa wa utawala na usalama eneo la Bonde la ufa baada ya watu wanne kuangamia katika shambulizi la majangili siku tatu zilizopita.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya