Basi lililobeba mateka walioachiliwa lilionekana likiingia Misri

  • | VOA Swahili
    624 views
    Basi lililobeba mateka walioachiliwa lilionekana likiingia Misri kutoka Gaza kupitia kivuko cha mpaka cha Rafah Saa tisa baada ya mashambulizi kutulia kwa mara ya kwanza katika muda wa wiki saba, Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limesema limeanza operesheni ya kufanikisha uhamisho wa mateka huko Gaza hadi Israel ili kuwarudisha Wapalestina wanaoshikiliwa katika jela za Israel. Kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa la Msalaba mwekundu, mateka 24 wameachiliwa huru huko Gaza. Watu kadhaa walionekana wakishuka kutoka kwenye basi hilo.