Baskeli yamfungulia njia: Mzee Nathan Ambuti anena

  • | K24 Video
    Mzee wa miaka 75 aliyeendesha basikeli kilomita zaidi ya mia mbili kuipa familia ya Moi rasala za rambirambi amenena leo na kuelezea ni nini kilichomsukuma kufika huko. Akinena hii katika eneo la Huisero kaunti ya Kakamega  Nathan Ambuti anasema yeye ni balozi wa amani,na Moi alikuwa mpenda amani. Kama anavyotuarigu Lenox Sengre sasa itakwua rahisi kwake, kuzunguka baaa ya kupewa pikipiki na gavana wa Nairobi Mike Sonko.