BAWACHA: 'Ndugai anavunja katiba wazi wazi'

  • | BBC Swahili
    Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo Chadema wamemtaka spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai kusimamia katiba na sheria kwenye swala linalowahusu wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama Chadema. Wakiongozwa na aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Mlimba Suzan Kiwangwa wanamtaka spika Ndugai kutangazia wazi ni lini alipokea barua hiyo inayomuarifu juu ya kufukuzwa kwao uanachama. Kumekuwa na kauli zinazo kinzana kati yake na naibu wake juu ya swala wabunge hao 19 wa viti maalum #bbcswahili #tanzania #siasa