BBC Africa Eye: Hakuna kurudi nyuma

  • | BBC Swahili
    667 views
    Makala ya BBC Africa Eye imefuatilia njia za wahamiaji haramu kutoka Nigeria hadi barani Ulaya, ikichunguza masuala ambayo yanawalazimu maelfu ya vijana wa Kiafrika kufanya safari hizo za hatari. #bbcswahili #africaeye #bbcafricaeye #uhamiaji #uhamiajiharamu #afrika #ulaya #nigeria #mali #togo #morocco