BBC Africa Eye: Jinsi Waafrika wanavyolengwa na ulaghai wa biashara ya mtandaoni

  • | BBC Swahili
    Biashara ya mtandaoni Crowd1 inayotoa bidhaa kwa wanachama wake, ikiwa na madai kuwa unaweza kuwa tajiri kwa haraka zaidi pale unapouza bidhaa zake kwa wengine. Lakini uchunguzi wa BBC Africa Eye umeweza kubaini utapeli ulioko kwenye kampuni hizo ambazo ziko Ulaya. Kampuni hizo zinafanya kazi kwa kutumia mitandao ya kijamii, kutapeli watu duniani kote. Ayanda Charlie anaripoti kutoka Afrika Kusini. #bbcswahili #bbcafricaeye #afrikakusini