BBC Africa Eye: Msako wa mwanamke mmoja wa kumtafuta baba yake mzazi

  • | BBC Swahili
    1,648 views
    BBC Africa Eye inafuatia safari ya kibinafsi ya mwanamke mmoja ya kumtafuta baba yake mzazi ambaye hajawahi kumjua, na kuchunguza ukweli ulioshirikiwa na zaidi ya thuluthi moja ya Wakenya, ambao hukua bila angalau mzazi mmoja wa kumzaa. #kenya #bbcafricaeye #malezi