BBC MITIKASI LEO 02.08.2022

  • | BBC Swahili
    1,913 views
    Tunaangazia upatikanaji wa chakula barani baadaya ya shehena ya kwanza iliyobeba nafaka kutoka Ukraine ikiondoka. Pia, Nigeria yapiga marufuku uagizaji wa kadi za simu kutoka nje kwa nia ya kukuza viwanda vya ndani. Na Peter Mwangangi #Ukraine #UhabaWaChakula #PeterMwangangi