BBC MITIKASI LEO 04. 11. 2011

  • | BBC Swahili
    1,171 views
    Na Hamida Abubakar: YALIYOMO, Tanzania yapokea dola milioni 56.7 kutoka china kufadhili upanuzi wa uwanja wa ndege wa Zanzibar. Kisha Je, idara ya mawasiliano na uhusiano mwema ina umuhimu gani kwa kampuni? Tunakujuza.