BBC MITIKASI LEO 07.11.2022

  • | BBC Swahili
    13,853 views
    Yaliyomo!!! Abiria kumi na tisa wafariki dunia huku 24 wakiokolewa kutoka ndege ya #precisionair iliyozama maji Jumapili, katika Ziwa Victoria Kaskazini Magharibi mwa Tanzania huko Bukoba, Mkoani Kagera! #bbcmitikasileo na #lynace #mwashighadi #lyancem #kagera #bukoba #samia #tanzania #cop27