BBC MITIKASI LEO 08.08.2022

  • | BBC Swahili
    2,538 views
    Wakenya watapiga kura hapo kesho kuchagua rais, wabunge na wajumbe wa kaunti. Tunazungumza na wanahabari wa BBC walio katika maeneo tofauti ya nchi kuhusu maandalizi ya uchaguzi. Aidha tutafahamu jinsi upigaji kura utakuwa huko ng'ambo. Na Lynace Mwashighadi #UchaguziKenya #IEBC #LynaceMwashighadi #kenyaelections #railaodinga #williamruto #uhurukenyatta #RoncliffeOdit