BBC MITIKASI LEO 10.01.2023

  • | BBC Swahili
    897 views
    Na Hamida Abubakar. YALIYOMO: Waziri mpya wa mambo ya kigeni wa China awasili Adiss Ababa kwa ziara yake ya kwanza Africa. Kisha taifa la Rwanda lasema halitapokea tena wakimbizi kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.