BBC MITIKASI LEO 13.10.2021

  • | BBC Swahili
    Na Peter Mwangangi. YALIYOMO: Kenya yapinga uamuzi wa mahakama ya kimataifa ya ICJ kuhusu mzozo wa bahari ,kati yake na Somalia. Kisha, Tunamulika uhusiano wa usalama wa wanawake na maendeleo ya kiuchumi barani Afrika.