BBC MITIKASI LEO 13.10.2021

  • | BBC Swahili
    Na Peter Mwangangi. YALIYOMO: Kenya yapinga uamuzi wa mahakama ya kimataifa ya ICJ kuhusu mzozo wa bahari kati yake na Somalia. Aidha tunamulika uhusiano wa usalama wa wanawake na maendeleo ya kiuchumi barani Afrika, na pia tunazungumza na kundi la muziki la Sauti Sol.