BBC MITIKASI LEO 14.01.2022

  • | BBC Swahili
    YALIYOMO: Tunachambua iwapo kuandaa michuano kama vile Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON una umuhimu wowote wa kiuchumi. Aidha tunakujuza hali halisi ya uchumi wa Sudan huku mzozo wa uongozi ukizidi kushuhudiwa. Pia tunakufahamisha kuhusu mfumo mpya wa malipo wa PAPSS utakaozingatia sarafu za nchi za Afrika. Na Peter Mwangangi