BBC MITIKASI LEO 16.01.2023

  • | BBC Swahili
    624 views
    Na Hamida Abubakar.YALIYOMO: Tunamulika mienendo ya uekezaji barani huku masoko ya kifedha yakitikisika pakubwa. Kisha kero la wakaazi wa jiji la Nairobi kufuatia kelele kutoka sehemu za kuabudu mchana kutwa na usiku kucha.