BBC MITIKASI LEO 18.11.2022

  • | BBC Swahili
    1,167 views
    YALIYOMO: Kipute Cha Kombe la Dunia mwaka 2022 kung'oa nanga chini ya masaa 48! Tunakuletea kionjo tu cha utakachopokea ndani ya mwezi mmoja wa mashindano hayo. Mwanamziki kutoka Tanzania, Mbosso anatupa taswira ya safari yake ya mziki huku akipambana na maradhi ya moyo. Na Hamida Abubakar.