BBC MITIKASI LEO 19.1.2023

  • | BBC Swahili
    1,198 views
    Na Hamida Abubakar. YALIYOMO... Uhaba wa umeme waathiri nchi kadha barani. Je tatizo liko wapi ? Kisha Twatua Tanzania ambapo mauzo ya almasi yaongezeka na kuletea taifa hilo faida kubwa.