BBC MITIKASI LEO 20.1.2023

  • | BBC Swahili
    1,552 views
    Na Hamida Abubakar. YALIYOMO: Kongamano la kiuchumi huko Davos uswisi lafikia kikomo. Tuna aangazia matokeo yake.Kisha Uganda yaidhinisha leseni ya ujenzi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki litakalogharimu dola bilioni 3.5.