BBC MITIKASI LEO 22.06.2022

  • | BBC Swahili
    2,463 views
    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akataa kusaini mswada wenye utata wa kudhibiti sekta ya teknolojia. Tunamulika kanuni za sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA). Pia tunamulika ukosefu wa chakula barani Afrika na suluhu zake. #UhuruKenyatta #MswadaWaTehama #ICT #mitikasileo