BBC MITIKASI LEO 22.11.2022

  • | BBC Swahili
    1,848 views
    Yaliyomo!!!Mazungumzo ya kuleta utulivu na amani, Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yafufuka, huku rais wa Angola akitoa mualiko wa kikao huko Luanda kwa wenzake wa Rwanda, Burundi na DRC! #bbcmitikasileo na #lynace #mwashighadi #messi #saudiarabia #worldcup #fifa