BBC MITIKASI LEO 23.09.2022

  • | BBC Swahili
    1,984 views
    YALIYOMO! Tunatathmini hatua hitajika kufanikisha mfumo wa usafirishaji mizigo kupitia ndege zisizo kuwa na rubani, yani Drones barani Afrika, Kisha Kampuni ya Boeing yalazimika kulipa takriban dola milioni 200 kuzima madai ya kuwapotosha wawekezaji wake kuhusu usalama wa ndege zake aina ya 737 Max 8.