BBC MITIKASI LEO 24.06.2022

  • | BBC Swahili
    2,668 views
    Na Hamida Abubakar: YALIYOMO: Mkutano wa wakuu wa nchi za muungano wa Jumuiya ya Madola mjini kigali unaendelea huku maswala mbali mbali yakijadiliwa. Kisha shirikisho la soka duniani ,Fifa laidhinisha vikosi vya wachezaji 26 kwa kila timu katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar.